Monday 8 February 2010

pemba ni kisiwa kilozungukwa na bahari na chenye mandhari nzuri ya rangi ya kijani.na wakaazi wengi wa kisiwa hicho ni wenye kujali utamaduni wao ikiwemo kuvaa mavazi ya kizanzibari kwani asilimia 99 ya watu wa pemba ni waislam'lkn pamoja na hayo ni wakarimu kwa wenyeji na wageni hasa ktk suala zima la usalama wa mali na makaazii.wananchi wa pemba wengi wao ni wafanya biashara ambao wako sehemu mbali ya tanzania'

No comments:

Post a Comment