Tuesday 9 February 2010

day two ukipenda

Nilicho jifunza siku ya mwanzo ni tofauti na siku ya pili.mwanzo ilikuwa ni kusikiliza zaid na kuangalia kwa upande wangu.lkn siku ya pili mafunzo kwangu yalianza kuwa mazuri baada ya kuelewa njia za matumizi ya internet ktk kutafuta habari mbali mbali duniani zikiwa za kiuchumi,kijamii,kisiasa na za kimaendeleo ndani na nje ya nchi ya tanzania.kwa kweli mafunzo haya kwangu mimi binafs nimeyafurahia kiasi cha kwamba nikimaliza hapa nitajiendeleza zaid kwa vile nimeona vitu vingi na vya muhimu ktk kujifunza na kufanya kazi ktk mazingira ya kitecnologia.pia ktk masomo nilosoma jana na leo nimependa somo la HOW INTERNET HAS CHANGED SOCIETIES’

No comments:

Post a Comment